262. Bwana wetu aliye mwema

1 Bwana wetu
aliye mwema,
tunamshukuru!
Haya tumshukuruni milele!
Haya tumshukuru,
Haya tumshukuru.

2 Yesu Kristo,
Mwokozi wetu,
katuokoa makosa yetu
yote yatoke.
Haya tumshukuru,
Haya tumshukuru.

3 Umshukuru
na roho yangu,
kwa mema yote
aliyokutendea bure tu.
Haya tumshukuru,
Haya tumshukuru.

4 Atupenda
na kutulinda,
siku zozote
yeye ni mchaungaji wetu mwema.
Haya tumshukuru,
Haya tumshukuru.

Text Information
First Line: Bwana wetu
Title: Bwana wetu aliye mwema
German Title: Danket dem Herrn
Author: K. F. Herrosee, 1754-1821
Language: Swahili
Publication Date: 1988
Topic: Kumtambikia Mungu: Kumsifu na kumwomba Mungu
Notes: Sauti: Danket dem Herrn, Asili: K. F. Schulz, 1784-1860, Tumwimbie Bwana #41, Posaunen Buch, Erster Band (344)
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us