65. Amezaliwa Yesu

1 Amezaliwa Yesu kwa ajili ya watu,
Ndiye Mwana wa Mungu Aliyetabiriwa.

Refrain:
Susa tunafurahi, Mwokozi amekuja,
Tutamwimbia pote wengine wamwamini.

2 Alixhuka kabisa ndiye Muumba wa vyote,
Akaaye mbinguni amelala horini. [Refrain]

3 Je, wachunga, habari? Mbona m-nafurahi?
Mnatafuta nini ham-jali Konod-o? [Refrain]

4 Neno latushangaza, twaona malaika,
Wamasema kwa shangwe, Mwokozi kazaliwa. [Refrain]

5 Nasi tumefurahi kwa kuzuliwa kwake,
Tutatangaza pote wengine wafurahi. [Refrain]

Text Information
First Line: Amezaliwa Yesu kwa ajili ya watu
Title: Amezaliwa Yesu
Refrain First Line: Sasa tunafurahi, Mwokozi amekuja
Language: Swahili
Publication Date: 2003
Notes: Tune: See in Yonder Manger Low, from "Nyimbo za Siva" (99)
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us