Appears in 1 hymnal Scripture: John 1:12 Lyrics: 1 Wote waliompokea
aliwapa uwezo kuwa wana,
Wote waliompokea
aliwapa uwezo kuwa wana,
Wote waliompokea
aliwapa uwezo kuwa wana,
Wote waliompokea
aliwapa uwezo kuwa wana.
2 Baba nawe umpokee
atakupa uwezo kuwa mwana,
Wote waliompokea
aliwapa uwezo kuwa wana,
Baba nawe umpokee
atakupa uwezo kuwa mwana,
Wote waliompokea
aliwapa uwezo kuwa wana.
3 Wote waliokombolewa
aliwapa uwezo kuwa wana,
Wote waliompokea
aliwapa uwezo kuwa wana,
Wote waliokombolewa
aliwapa uwezo kuwa wana,
Wote waliompokea
aliwapa uwezo kuwa wana.
4 Baba nawe umpokee
atakupa uwezo kuwa mwana,
Wote waliompokea
aliwapa uwezo kuwa wana,
Baba nawe umpokee
atakupa uwezo kuwa mwana,
Wote waliompokea
aliwapa uwezo kuwa wana.
Topics: Wokovu
Wote Waliompokea