Instance Results

In:instances
Text Identifier:"^wachunga_wakesha_kulinda_kondoo$"

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 2 of 2Results Per Page: 102050

Wachunga Wakesha

Hymnal: Nyimbo za Imani Yetu #69 (2003) Hymnal Title: Nyimbo za Imani Yetu First Line: Wachunga wakesha Languages: Swahili Tune Title: [Wachunga wakesha]
TextPage scan

Wachunga Wakesha

Author: David Makathimo Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #69 (1994) Hymnal Title: Nyimbo Za Imani Yetu First Line: Wachunga wakesha Lyrics: 1 Wachunga wakesha Kulina Kondoo Karibu na mji wa Bethlhem ya Yda, Malaika wa Mungu Malaika wa Mungu akaleta habari; Wachunga wakesah Kulinda Kondoo Karibu na mji wa Bethlehem ya Yuda, Malaika wa Mungu Malaida wa Mungu akaleta habri. 2 Mtoto kazakliwa Kristo Mkombozi Ndiye Mwana wa Mungu amelazwa horini, Nendeni Bethlehem Nendeni Bethlehem huko mtamwona; Mtoto kazakliwa Kristo Mkombozi Ndiye Mwana wa Mungu amelazwa horini, Nendeni Bethlehem Nendeni Bethlehem huko mtamwona. 3 'Ni ajubu kuu" Twende tukamwone Kule tumeambiwa na malaika wa Mungu, Mwokozi tumwone Mwokozi tumwone "Ni ajabu kuu;" 'Ni ajubu kuu" Twende tukamwone Kule tumeambiwa na malaika wa Mungu, Mwokozi tumwone Mwokozi tumwone "Ni ajabu kuu." 4 Walipoingia Pale kwenye zizi Ndipo walipomwona amelazwa horini, Wakam'abudu Wakam'abudu wakipiga magoti; Walipoingia Pale kwenye zizi Ndipo walipomwona amelazwa horini, Wakam'abudu Wakam'abudu wakipiga magoti. 5 Walimwengu wate Njoni tumwabudu Kwa myoyo ya furaha tumwabudu Mwokozi, Njoni tumwabudu Njoni tumwabudu Yesu amezaliwa; Walimwengu wate Njoni tumwabudu Kwa myoyo ya furaha tumwabudu Mwokozi, Njoni tumwabudu Njoni tumwabudu Yesu amezaliwa. Topics: Kuzaliwa Kwake Kristo Scripture: Luke 2:8 Languages: Swahili

Export as CSV