Jina lake Yesu tamu

Representative Text

1 Jina lake Yesu tamu;
Tukilisikia
Hutupoza, tena hamu
Hutuondolea.

2 Roho iliyoumia
Kwalo hutibika,
Chakula, njaani pia;
Raha, tukichoka.

3 Jina hili ni msingi,
Ngao, ngome, mwamba,
Kwa hili napata wingi
Kwangu ni akiba.

4 Yesu, Mchunga, Rafiki,
Mwalimu, Kuhani,
Mwanzo, Mwisho, Njia, Haki,
Uzima kifoni.

5 Moyo wangu hauwezi
Kukusifu kweli,
Ila sifa zangu hizi,
Bwana zikubali.

6 Na utakaponiita,
Kuja kwako Bwana,
Huko kwako sitaacha
Kukusifu sana.

Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #51

Author: John Newton

John Newton (b. London, England, 1725; d. London, 1807) was born into a Christian home, but his godly mother died when he was seven, and he joined his father at sea when he was eleven. His licentious and tumul­tuous sailing life included a flogging for attempted desertion from the Royal Navy and captivity by a slave trader in West Africa. After his escape he himself became the captain of a slave ship. Several factors contributed to Newton's conversion: a near-drowning in 1748, the piety of his friend Mary Catlett, (whom he married in 1750), and his reading of Thomas à Kempis' Imitation of Christ. In 1754 he gave up the slave trade and, in association with William Wilberforce, eventually became an ardent abolitionist. After becoming a tide… Go to person page >

Text Information

First Line: Jina lake Yesu tamu
English Title: How sweet the name of Jesus sounds
Author: John Newton
Language: Swahili

Timeline

Instances

Instances (1 - 3 of 3)
Text

Mwimbieni Bwana #51

Page Scan

Nyimbo Za Imani Yetu #24

Nyimbo za Imani Yetu #24

Suggestions or corrections? Contact us