Browse Texts

In:texts

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 10 of 26Results Per Page: 102050
Text

Bwana Amefufuka, Haleluya

Appears in 1 hymnal Lyrics: 1 Bwana amefufuka, Haleluya Tuimbe na malaika, Haleluya. Sifa zetu na shangwe, Haleluya. Na zao zisitengwe, Haleluya. 2 Ukombozi timamu, Haleluya. Umetimu kwa damu, Haleluya Mshindi asifiwe, Haleluya. Yu hai kwa milele, Haleluya. 3 Jiwe, lindo, muhuri, Haleluya. Vi wapi? na kaburi? Haleluya Kifo hakimuweki, Haleluya. Ametoka peponi, Haleluya. 4 Yu hai Mtukufu, Haleluya. Cha kifo hatuhofu! Haleluya. Alitufia sisi, Haleluya. Tuwe huru na sisi. Haleluya. 5 Kichwa chatangulia, Haleluya. Tupae, nasi pia! Haleluya. Kwa kuwa tuna fungu, Haleluya. Mti, kaburi, mbingu, Haleluya. 6 Mdiwe Mwokozi wetu, Haleluya. Sifa ni yako Yesu, Haleluya. Utukuzwe pekee, Haleluya. Ni Wewe Ufufuo, Haleluya. Text Sources: Maneno kutoka Kilatini Karne ya 14
TextPage scans

Bwana anakuja

Author: Moses O. M. Mdegella Appears in 1 hymnal First Line: Bwana ankuja twendeni kumlaki Refrain First Line: Karibu Bwana, njoo Lyrics: 1 Bwana anakuja twendeni kumlaki Bwana Mungu wa majeshi, Iwasheni mioyo tukampokee Huyo mwenye utukufu Refrain: Karibu Bwana, njoo Karibu Bwana, njoo Shinda pamoja nasi. 2 Wewe ndiwe Mfalme, Mfalme wa mbinguni Utulishe wenye njaa. Wewe ndiwe mwanga, sisi tu vipofu Tufanye tuone tena. [Refrain] 3 Wewe ndiwe njia, tutakufuata Turudi kwa Baba yetu. Wewe ndiwe, utuangazie Tusije tukapotoka. [Refrain] 4 Hosana, Hosana, huyo mbarikiwa Anakuja kwetu sisi. Aja kutulisha na kutugawia Matunda ya ukombozi. [Refrain] Topics: Yesu anangojewa

Bwana Awabariki

Meter: Irregular Appears in 10 hymnals First Line: Bwana awabariki (May God grant you a blessing) Topics: Dismissal; Dismissal; Blessings Scripture: Genesis 12:1-9 Used With Tune: BWANA AWABARIKI Text Sources: Swahili hymn
TextPage scans

Bwana, Bwana ndiye mtakatifu

Appears in 1 hymnal First Line: Bwana, Bwana ndiye Lyrics: Bwana, Bwana ndiye mtakatifu, anayo nguvu na sasa aliyeko, na ajaye, Bwana! Bwana! Mungu, mfalme, mwenye uwezo! Topics: Baba Mwana na Roho Mtakatifu Mungu mmoja
Page scans

Bwana imepita tena

Author: K. Neumann, 1648-1715 Appears in 1 hymnal First Line: Bwana, imepita tena Topics: Kumtambikia Mungu Nyimbo za Jioni

Bwana Mungu, Nashangaa

Author: Stuart K. Hine,. 1899-1989 Appears in 2 hymnals First Line: Bwana Mungu, nashangaa kabisa Used With Tune: [Bwana Mungu, nashangaa kabisa]

Bwana Mungu Ni Mchunga Wangu

Author: Samweli Syengo; Anthony Nguma; M. G. Mutsoli Appears in 1 hymnal Refrain First Line: Sita pungu, pungukiwa Topics: Arusi; Irada, Sifa Na Injil; Maisha Ya Kikirsto Na Uhuduma; Ushuhuda Scripture: Psalm 23:1
Page scans

Bwana Mungu, Ukae Nasi

Appears in 1 hymnal Topics: Maombi Scripture: Psalm 16:11
TextPage scans

Bwana nasikia kwamba

Author: E. Cordner Appears in 1 hymnal Lyrics: 1 Bwana nasikia kwamba umebariki wengi, nami nakuomba sasa: Nibariki na mimi! Na mimi na mimi Nibariki na mimi. 2 Nipitie Baba yangu, kweli mimi mkosaji, Baba uingie kwangu, nirehemu na mimi! Na mimi na mimi Nirehemu na mimi. 3 Nipite, nakuomba, Bwana Yesu Mwokozi, wakosaji wawaita, uniite na mimi! Na mimi na mimi Uniite na mimi. 4 Nipitie Roh mwema kweli mimi sioni, mwenye nguvu za kuonya, nipe nguvu na mimi! Na mimi na mimi Nipe nguvu na mimi. 5 Nipite Baba yangu, nakuomba kwa bidii, umebariki wengine, ni bariki na mimi! Na mimi na mimi Nibariki na mimi. Topics: Yesu anawapa wanfunzi wake Roho Mtakatifu

Bwana Ndiye Mchunga Wangu

Appears in 2 hymnals Used With Tune: BROTHER JAMES'' AIR

Pages


Export as CSV