Appears in 1 hymnal Matching Instances: 1 First Line: Nchi, mbingu furahi! Lyrics: 1 Nchi, mbingu furahi! Haleluya!
Amekuja Mwokozi, Haleluya!
Mwana wake Mungu
amekuja kwetu,
amekuja kwetu.
2 Toka shina la Yese, Haleluya!
Tawi limechipuka, Haleluya!
Mwana wake Mungu
amekuja kwetu,
amekuja kwetu.
3 Neno lake Mwenyezi, Haleluya!
Limekuja duniani, Haleluya!
Mwana wake Mungu
amekuja kwetu,
amekuja kwetu. Topics: Kuzaliwa kwa Yesu
Nchi, mbingu furahi