Imbeni nyote sifa za Bwana

Imbeni nyote sifa za Bwana

Tune: [Mungu ni pendo, apenda watu]
Published in 2 hymnals

Representative Text

1 Imbeni nyote siva za Bwana,
Na njoni kwake, Ee dunia.
Shangelieni nyote pamoja,
Atumkiwe kwa furaha.

2 Bwana ni Mungu, jueni nyote;
Alituumba, si wenyewe,
Na sisi sote tu watu wake,
Tu kondoo wake sisi sote.

3 Nyuani mwake na malangoni,
Ingieni na usukuru.
Mshukuruni, shangilieni,
Na jina lake lisifuni.

4 Kwa kuwa wema ni wake Mungu,
Hata milele ni karimu.
Uaminifu wa Bwana wetu,
Vizazi vyote utadumu.

Source: Nyimbo Za Imani Yetu #8

Text Information

First Line: Imbeni nyote sifa za Bwana

Timeline

Instances

Instances (1 - 2 of 2)
TextPage Scan

Nyimbo Za Imani Yetu #8

Tune Info

Nyimbo za Imani Yetu #8

Suggestions or corrections? Contact us