Mtukuzeni Bwana pamoja nami

Mtukuzeni Bwana pamoja nami

Tune: [Mtukuzeni Bwana pamoja nami]
Published in 2 hymnals

Representative Text

Mtukuzeni Bwana pamoja nami, nami, nami,
Mtukuzeni Bwana pamoja nami, nami, nami,
Na tuliadhimishe jina lake pamoja, pamoja.
Na tuliadhimishe jina lake pamoja, pamoja.
Mtukuzeni Bwana,
Mtukuzeni Bwana,
Na tuliadhimishe,
Na tuliadhimishe,
Tuimbe jina lake,
Tuimbe jina lake,
Wokovu wake Bwana,
Wokovu wake Bwana,
Mtukuzeni Bwana,
Mtukuzeni Bwana,
Na tuliadhimishe,
Na tuliadhimishe.
Mtukuzeni Bwana, pamoja nami, nami, nami,
Mtukuzeni Bwana, pamoja nami, nami, nami,
Na tuliadhimishe jina lake pamoja, pamoja.
Na tuliadhimishe jina lake pamoja, pamoja.

Source: Nyimbo Za Imani Yetu #20

Text Information

First Line: Mtukuzeni Bwana pamoja nami
Language: Swahili
Copyright: Public Domain

Timeline

Instances

Instances (1 - 2 of 2)

Nyimbo za Imani Yetu #20

TextPage Scan

Nyimbo Za Imani Yetu #20

Suggestions or corrections? Contact us