1 Mungu na atufadhili na kutubariki Ee mungu, na kutuangazia uso wake, ee.
Refrain: Watu wakushukuru Mungu, Watu wote wakushukuru. Wakushukuru Mungu, ee, Watu wote wakushukuru.
2 Njia yake ijulike dunia-ni Wokovu wake kati ya mataifa yote. [Refrain]
3 Mataifa yote, kote na washangilie, Maana kwa haki utawahukumu watu. [Refrain]
4 Mungu wetu, ametubariki sana sisi; Nchi imetoa mazao, itamcha yeye.Source: Nyimbo Za Imani Yetu #17