Zaburi 67

Mungu na atufadhili na kutubariki

Tune: [Mungu na atufadhili na kutubariki]
Published in 2 hymnals

Representative Text

1 Mungu na atufadhili na kutubariki
Ee mungu, na kutuangazia uso wake, ee.

Refrain:
Watu wakushukuru Mungu,
Watu wote wakushukuru.
Wakushukuru Mungu, ee,
Watu wote wakushukuru.

2 Njia yake ijulike dunia-ni
Wokovu wake kati ya mataifa yote. [Refrain]

3 Mataifa yote, kote na washangilie,
Maana kwa haki utawahukumu watu. [Refrain]

4 Mungu wetu, ametubariki sana sisi;
Nchi imetoa mazao, itamcha yeye.

Source: Nyimbo Za Imani Yetu #17

Text Information

First Line: Mungu na atufadhili na kutubariki
Title: Zaburi 67
Language: Swahili
Refrain First Line: Wata wakushukuru Mungu
Copyright: Public Domain

Timeline

Instances

Instances (1 - 2 of 2)
Text

Nyimbo Za Imani Yetu #17

Nyimbo za Imani Yetu #17

Suggestions or corrections? Contact us