1 Uje Roho mwenye neema, uje hua wa mbinguni, lete mwanga wa upozi, wee mlinzi na kiongozi!
2 Tuchague njia yako, kweli twaiona sasa, ututie woga mwema, tusimwache Mungu wetu!
3 Tupeleke kwa Mesiya, yeye mwanzo wa uzima, tuyatende mema yote, mdiye njia ya mbinguini!
4 Tupeleke furahani, tukapate kupumzika; tupeleke kwake Mungu, kwake iko raha bora! Source: Mwimbieni Bwana: msifuni Mungu, mfalme wa mbingu na nchi! #132