Watu Wote Duniani

Representative Text

1 Watu wote duniani, Mwimbieni Mungu wetu,
M-cheni na kumsikia, Njoni kwake na furaha.
M-cheni na kumsikia, Njoni kwake na furaha.

2 Milima, bahari zote, Nyota nazo,jua pia,
Na vyote alivyoumba, M-sifuni Mungu wenu.
Na vyote alivyoumba, M-sifuni Mungu wenu.

3 Muumba ni Mungu peke, Wa watu na vitu vyote,
Mwenyezi nchini na juu, Ndiye M-linzi wa watu.
Mwenyezi nchini na juu, Ndiye M-linzi wa watu.

4 Tumfurahie daima, Tumkaribie kitini,
Anao uzima kweli, Ndiye Mchungaji wa wote.
Anao uzima kweli, Ndiye Mchungaji wa wote.

5 Tumsifuni siku zote, Kwa shukrani tumwimbie,
Atutawale daima, Kwa wingi, wa neema yake.
Atutawale daima, Kwa wingi, wa neema yake.

Source: Nyimbo Za Imani Yetu #15

Text Information

First Line: Watu wote duniani
Title: Watu Wote Duniani
Language: Swahili
Copyright: Public Domain

Tune

OLD HUNDREDTH

This tune is likely the work of the composer named here, but has also been attributed to others as shown in the instances list below. According to the Handbook to the Baptist Hymnal (1992), Old 100th first appeared in the Genevan Psalter, and "the first half of the tune contains phrases which may ha…

Go to tune page >

[Watu wote duniani] (Makathimo)

Timeline

Instances

Instances (1 - 3 of 3)

Nyimbo za Imani Yetu #temp_15a

Nyimbo za Imani Yetu #temp_15b

TextPage Scan

Nyimbo Za Imani Yetu #15

Suggestions or corrections? Contact us