Search Results

Topics:safari+ya+mbinguni

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.

Texts

text icon
Text authorities
Page scans

Parapanda Inalia

Appears in 1 hymnal Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Parapanda inalia kule mbinguni Refrain First Line: Malaika wamwimbia Bwana Scripture: Psalm 150
Page scans

Mninguni Nani?

Appears in 2 hymnals Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Mbinguni nani? Scripture: Colossians 1:5
Page scans

Mpendao Bwana

Appears in 1 hymnal Topics: Safari Ya Mbinguni Refrain First Line: Twendeni mbinguni Scripture: Isaiah 35:10

Instances

instance icon
Published text-tune combinations (hymns) from specific hymnals
TextPage scan

Sayuni, Sayuni, Sayuni

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #297 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Sayuni, Sayuni, Sayuni, Sayuni Lyrics: 1 Sayuni, Sayuni, Sayuni,Sayumi, Nina imani kwamba nitafika Nina imani kwamba nitafika Sayuni. Sayuni, Sayuni, Sayuni,Sayumi, Nina imani kwamba nitafika Nina imani kwamba nitafika Sayuni. 2 Paradiso ya mbinguni, Paradiso ya mbinguni, Nina amani kwamba nitafika, Nina imani kwamba nitafika Sayuni Sayuni, Sayuni, Sayuni,Sayumi, Nina imani kwamba nitafika Nina imani kwamba nitafika Sayuni. 3 Kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, Nina imani kwamba nitafika Nin imani kwamba nitafika kwa Baba. Kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, Nina imani kwamba nitafika Nin imani kwamba nitafika kwa Baba. Scripture: Revelation 22:4 Languages: Swahili
Text

Utukufu Mbinguni Juu

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #302 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Utukufu mbinguni Refrain First Line: Sote tu Lyrics: 1 Utukufu mbinguni Juu Bwana katujia Twendeni tukamuone Mkombozi wetu Refrain: Sote tu, Piga yowe Kwa shangwe Amekuja mkombezi wetu, Aa! tumlaki. 2 Mjinin Bethlehemu Yesu kazaliwa Manbii walivyosema Ikatimia. [Refrain] 3 Apewe ni utukufu Bwana wa majeshi Tumwabudu ndiye Mungu Tumsujudie. [Refrain] 4 Yesu Bwana turehemu Sisi watu wako Tupe neema na pendo Tukushangilie. [Refrain] Scripture: Luke 2:14 Languages: Swahili
Page scan

Kwake Yesu Mbinguni

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #295 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Kwake Yesu mbinguni Refrain First Line: Tutakaa, milele Scripture: Colossians 1:5 Languages: Swahili

People

person icon
Authors, composers, editors, etc.

Stuart K. Hine

1899 - 1989 Person Name: Stuart K. Hine, 1899-1989 Topics: Safari Ya Mbinguni Author of "Bwana Mungu, Nashangaa" in Nyimbo Za Imani Yetu Stuart K. Hine was born in 1899 in Great Britain. In much of Stuart’s earlier years he and his wife were missionaries in the Western Ukraine of Russia, where they evangelized as Christian workers and singers. In 1931, Stuart K. Hine and his wife returned to Britain and conducted gospel campaigns throughout Great Britain. During those years, Stuart published many song books and wrote many of his beloved gospel songs. Stuart retired from the active ministry but continued to publish his song books and his music and contributed the majority of his income to various missionary endeavors around the world…Stuart K. Hine’s most popular composition is “How Great Thou Art,” which is recognized in many polls as the number one Hymn in America. Among his other compositions are “Can There Be One,” “O Savior Mine?”, “Faith Is The Bridge,” and “What Can Cleanse My heart?” Mr. Hine died in 1989. --www.gmahalloffame.org/site/stuart-k-hine/

M. G. Mutsoli

Topics: Safari Ya Mbinguni Author of "Utukufu Mbinguni Juu" in Nyimbo Za Imani Yetu