228. Usiku uingiapo

1 Usiku uingiapo,
umwaze Mungu mkuu,
aendeshaye dunia
kwa mwendo mtulivu.

2 Kwa nini unahangaika
usiku na mchana?
Umtwishe huzuni yako
aliyekuumba.

3 Kwake haujapunguka
uwezo na msaada.
Atayatimiaz yote
aliyoyaanza.

4 Ukamwachie kutenda
atakalo kwako!
Kwa hiyo ulale raha
na kufurahiwa.

Text Information
First Line: Usiku uingiapo
Title: Usiku uingiapo
German Title: Ich singe dir mit Herz und Mund
Author: P. Gerhardt, 1607-1676
Language: Swahili
Publication Date: 1988
Topic: Kumtambikia Mungu: Nyimbo za Jioni
Notes: Sauti: Nun danket all und bringet Ehre by J. Crüger, Posaunen Buch, Erster Band #168, Reichs Lieder #32
Tune Information
(No tune information)



Suggestions or corrections? Contact us