Browse Texts

In:texts

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 20 of 37Results Per Page: 102050
Page scans

Msalaba Nilipouona

Appears in 1 hymnal First Line: Msalaba nilipoona Topics: Kufu Kwake Yesu; Wokovu Scripture: Galatians 6:14

Msalabani, Mtini

Appears in 2 hymnals First Line: Msalabani, mtini, alikufa Mwokozi Used With Tune: [Msalabani, mtini]

Msalabani Pa Mwokozi

Author: E. A. Hoffman Appears in 2 hymnals First Line: Msalabani pa Mwokozi
TextAudio

Msalabani Pa Mwokozi

Author: Elisha A. Hoffman; Unknown Appears in 1 hymnal Refrain First Line: Sifa kwa Yesu Lyrics: 1 Msalabani pa Mwokozi, Naliomba unirehemu, Aliniondoa dhambini, Sifa kwa Yesu! Refrain: Sifa kwa Yesu, Sifa kwa Yesu, Bwanangu, Aliniondoa dhambini, Sifa kwa Yesu. 2 Chini ya mti naliomba, Nisamehewe dhambi zangu, Nalitakasika kwa damu, Sifa kwa Yesu! [Refrain] 3 Kisima cha kububujika, Kwangu ni youte na furaha, Nalitakaswa kisimani, Sifa kwa Yesu! [Refrain] 4 Karibu nyote kisimani! Nyweni na roho itashiba, Kiu yaisha, salamu kuu, Sifa kwa Yesu! [Refrain] Used With Tune: [Msalabani pa Mwokozi]

مش بيحتاج الأصحا لطبيب

Author: Manal Samir منال سمير Appears in 1 hymnal Refrain First Line: في قسوتي حنانك يبان

خيره يشبع سنين

Appears in 1 hymnal First Line: مش خارج حر باحب سيدي

محتاجين لك كلنا

Appears in 1 hymnal First Line: مش ممكن أبدا هاتعينا

أيوه باحبه

Author: Ramzi Bishara رمزي بشارة Appears in 1 hymnal First Line: مش ممكن أنساه ولا أسيبه Refrain First Line: أيوه باحبه وأقولها بفخر

أنا هافرح بيك

Author: Albert Samir ألبير سمير Appears in 3 hymnals First Line: مش مستني ياربي

مش راح نسكت

Author: Hermas Samir هرماس سمير Appears in 1 hymnal First Line: مش راح نسكت وهنتكلم Refrain First Line: اسمح ربي واملك فينا

Mshangilie Bwana

Author: Yona Membe Appears in 1 hymnal Topics: Kujuta na kutegemea Kujuta
Page scans

صبح مجيد

Appears in 2 hymnals First Line: مشرق الشمس يمحو الآلام Refrain First Line: صبح مجيد يوم يجي Used With Tune: [مشرق الشمس يمحو الآلام]
TextPage scans

Mshukuruni Mshukuru Bwana

Appears in 1 hymnal First Line: Mshukuruni Lyrics: 1 Mshukuruni! Mshukuru Bwana Kwa kuwa mwema Rehema zake ziko milele, Zadumu milele. Zadumu milele. 2 Kamsifuni! Kamsifuni Bwana, Ee roho yangu, Usisahau aliyotenda, Aliyokutendea, Aliyokutendea. 3 Enzi yake! Enzi ya Bwana Afanya hekima, Na neema yake isiyokoma, Ni isiyokoma, Ni isiyokoma. 4 Bwana ni mkuu! Ni mkuu kupita Jinale takata, Dunia yote imtukuze ye, Imtukuza yeye, Imtukuze yeye! Topics: Kumtambikia Mungu Kumsifu na kumwomba Mungu

Wimbo Wa Shukrani

Appears in 2 hymnals First Line: Mshukuruni Mungu, kwa kuwa Yeye mwema Refrain First Line: Ana fadhili za milele Used With Tune: [Mshukuruni Mungu, kwa kuwa Yeye mwema]
Page scans

Msifu, Watoto Wadogo

Author: Jeanine Boyd Appears in 1 hymnal First Line: Msifu, msifu, watoto wadogo Topics: Upendo Wa Mungu; Watoto Scripture: Matthew 21:16

Haleluya, Amin

Appears in 2 hymnals First Line: Msifuni Amin Refrain First Line: Haleluya Amina, Haleluya Amina Used With Tune: [Msifuni Amin]

Pages


Export as CSV