Instance Results

Topics:safari+ya+mbinguni
In:instances

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 10 of 33Results Per Page: 102050
TextPage scan

Sayuni, Sayuni, Sayuni

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #297 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Sayuni, Sayuni, Sayuni, Sayuni Lyrics: 1 Sayuni, Sayuni, Sayuni,Sayumi, Nina imani kwamba nitafika Nina imani kwamba nitafika Sayuni. Sayuni, Sayuni, Sayuni,Sayumi, Nina imani kwamba nitafika Nina imani kwamba nitafika Sayuni. 2 Paradiso ya mbinguni, Paradiso ya mbinguni, Nina amani kwamba nitafika, Nina imani kwamba nitafika Sayuni Sayuni, Sayuni, Sayuni,Sayumi, Nina imani kwamba nitafika Nina imani kwamba nitafika Sayuni. 3 Kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, Nina imani kwamba nitafika Nin imani kwamba nitafika kwa Baba. Kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, kwa Baba, Nina imani kwamba nitafika Nin imani kwamba nitafika kwa Baba. Scripture: Revelation 22:4 Languages: Swahili
Text

Utukufu Mbinguni Juu

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #302 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Utukufu mbinguni Refrain First Line: Sote tu Lyrics: 1 Utukufu mbinguni Juu Bwana katujia Twendeni tukamuone Mkombozi wetu Refrain: Sote tu, Piga yowe Kwa shangwe Amekuja mkombezi wetu, Aa! tumlaki. 2 Mjinin Bethlehemu Yesu kazaliwa Manbii walivyosema Ikatimia. [Refrain] 3 Apewe ni utukufu Bwana wa majeshi Tumwabudu ndiye Mungu Tumsujudie. [Refrain] 4 Yesu Bwana turehemu Sisi watu wako Tupe neema na pendo Tukushangilie. [Refrain] Scripture: Luke 2:14 Languages: Swahili
Page scan

Kwake Yesu Mbinguni

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #295 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Kwake Yesu mbinguni Refrain First Line: Tutakaa, milele Scripture: Colossians 1:5 Languages: Swahili
Page scan

Parapanda Inalia

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #303 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Parapanda inalia kule mbinguni Refrain First Line: Malaika wamwimbia Bwana Scripture: Psalm 150 Languages: Swahili
Page scan

Mninguni Nani?

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #304 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Mbinguni nani? Scripture: Colossians 1:5 Languages: Swahili
Page scan

Bwana Yesu Atakaporudi

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #103 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Bwana Yesu atakaporudi toka mbinguni Refrain First Line: Numi nitakuwa nao Scripture: 1 Thessalonians 4:16-17 Languages: Swahili
Page scan

Mpendao Bwana

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #291 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Refrain First Line: Twendeni mbinguni Scripture: Isaiah 35:10 Languages: Swahili
TextPage scan

Mapambazuko Yanakuja

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #265 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Lyrics: 1 Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Mapambazuko yanakuja na siku nazo zinasogea. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Nami natamani siku ile ya kwenda nikayale matunda, Matunda ya Edeni. Scripture: John 6:265 Languages: Swahili

Siku Ya Mbingu Kujawa Na Sifa

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #101 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni Refrain First Line: Alinipenda, alinifia Scripture: 1 Timothy 3:16 Languages: Swahili

Siku Ya Kiyama

Author: M. G. Mutsoli Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #102 (1994) Topics: Safari Ya Mbinguni First Line: Siku ile ya kiyama Scripture: Revelation 22:12 Languages: Swahili

Pages


Export as CSV